Dr
Cheni baada ya kumtambulisha Steven shabiki wa damu wa club ya
Yanga kwenye bongomovie , hivi sasa amemtambulisha mchina kwenye tasnia
hiyo.
Moja
ya sentensi anayosema Dr Cheni kwenye scene ambayo mchina amehusika ni
hii, “Nyinyi mmekuja kuwekeza kwenye nchi yetu mnawekeza hadi kwa wake
zetu”.
Angalia hii scene ambayo mchina kahusika akimchukua mke wa Dr Cheni
Thursday, November 14, 2013
Unknown
Bongo movies