Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, November 14, 2013

MNIGERIA BADO AENDELEA KUWABURUZA WATANZANIA AKINA ROSTAM AZIZ, REGNALD MENGI NA MOHAMED DEWJI....


Mnigeria Aliko Dangote


MTANDAO wa Forbes umetoa orodha mpya ya matajiri 50 wanaongoza kwa kuwa na pesa nyingi barani Africa huku ikihusisha vyanzo vyao vya pesa, umri pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki. 



Orodha hiyo inaongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja.
  
ROSTAM AZIZ.
 
 Reginald Mengi.

Watanzania wengine wanne ni pamoja na Rostam Aziz aliyeshika nafasi ya 27, huku Reginald Mengi akishikilia nafasi ya 34 wakati Bakhresa anashika nafasi ya 38 na Mohammed Dewji yeye akiwa katika nafasi ya 38.
 1
2
3
4
5

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com