Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, November 16, 2013

BONGO QEEN "MASOGANGE" AKANUSHA KUWA ALIKWENDA AFRIKA KUSINI KUJIUZA..CHEK PICHA ZAIDI












VIDEO Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ameibuka na kusema kuwa hakwenda Afrika ya Kusini ‘Sauz’ kujiuza kama baadhi ya watu walivyompakazia.
Agness Gerald ‘Masogange’.
Akipiga stori na Amani, Masogange ambaye iliwahi kuvuja video yake ya utupu mwaka jana, alifafanua kuwa picha mpya zinazodaiwa kuwa ni za nusu utupu zilizozagaa mtandaoni, zilisababishwa na ulevi na si kweli kwamba ni za kujiuza.
‘’Sijui hizo picha zilisambaa vipi kwa sababu zilikuwa kwenye kamera yangu na mimi siku hiyo nilikuwa nimelewa, sikuwa naelewa chochote na sikuwa utupu kiivyo kama wambeya walivyosema,” alisema Masogange.

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com