Tumekuwa
tukimzoea Sintah kutusaidia kufunguka au kuwapa makavu wale wadada wote
wanaokuwa wanaacha maungo yao nje na kuweka picha katika mitandao ya
kijamii..,
Unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako unasahau kama vidole vinne vinakuangalia
ww, basi sinta alilisahau ilo. tazama picha 3 hapo chini kisha ufunguke
Sintah anafaa kukosoa wenzake au na yeye ni wale wale watafuta kiki??
Tuesday, December 17, 2013
HII NI LAANA...!! MWANADADA SINTAH AAMUA KUUZA MWILI WAKE MTANDAONI BAADA YA KUONA KAKOSA SOKO, MTAZAME HAPA..
Unknown
AIBU