Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, October 27, 2013

KUHUSU NGUO FUPI WADAU MNAMAONI GAN....LIKE kama upendezwi na COMMENT nouma sana kama ni kero kwako na familia yako

Unalizungumziaje suala la nguo fupi kwenye filamu?
Moja ya mambo yanayojadiliwa sana na vyombo vya habari kwa sasa, ni suala la kina dada wengi wa BONGO kupenda kuvaa nguo fupi sana wanapokuwa kwenye mishemishe za kutafuta hela... je wewe kama mdau unazungumziaje swala kama hili la wakna dada kuvaa nguo fui hasa pale wazazi wanapokuwa na wanao kwenye mahangaiko na kukutana na hii hali .?je watu kama hawa wanatakiwa kufanyiwa nn? Tupe maoni yako hapo chini kama mdau wetu wa NOUMASANA.BLOGSOT.COM.

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com