HATIMAYE! Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake jana
Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.
Grace Joseph · Works at Lady Jaydeemtajijua wenyewe wapuuzi wakubwa nyieeee na mtuache mashabiki tulale couse tumewachokaaa
Frank Itambiko · Followkweli akili ya mwanamke m1 aliye timamu ni sawa na akili ya wanaume walio vichaa 40, hivi Wema anajielewa kweli?

Gerald Joseph Jr. · Follow · Teflon Don at Roc Nation Africawaache wafanye yao we unaesema wajinga au wanaiga Cris na Rihanna kwan walikuomba ushauri au ni uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Pipo zngne zna akili za kiijumaa wikienda tu
Emmanuel John Gomela · Works at AFRICAN MEDICAL INVESTMENTSDuuuuuu! kweli penzi la kweli halipotei km vp wafunge ndoa kabisa story za uchumba wao sasa zifike mwisho muda wa kuuza magazeti ya watu ufike mwisho hope nimesomeka.
Exavery Anthony · Follow · Dar es Salaam, Tanzaniadiamond bhanaaa kweli huyu jamaaa mfanyabiashara,apo anchotafuta ni kuendelea kuweka jina lake juu,sasa magazeti ya udaku yanaenda kuuzika maana itakuwa ni wao2 kila sikuuu
Ryan Breezy Carter · Follow · Rapper,Story Writter at Golden IconsHaijalishi nini kilitokea kati yenu,,,kama kweli mnapendana kwa dhati you go ahead guyz...me happy seeing you two guyz 2getha
















