Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, November 18, 2013

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIA KICHWA WAKATI AKIPANDA DALADALA MAENEO YA ILALA BOMA...!!







afariki-akidandia-daladala-0


afariki-akidandia-daladala
 
Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika, amefariki dunia baada ya kuteleza na kuanguka wakati alipokua akijaribu kudandia Daladala maeneo ya Ilala Boma, Jijini Dar es Salaam, asubuhi leo. Marehemu huyo baada ya kuanguka na kupiga kichwa kwenye lami, alipasuka kichwa na kuvuja damu nyingi kichwani, na kufariki katika eneo la tukio

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com