Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, November 16, 2013

RAY WA BONGO MUVIE ACHAFUKWA ;BOFYA KUONA MUONEKANO WAKE MPYA............


Huu  ni  muonekano  mpya wa  Vicent  Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie  yake  mpya ...
Ni  muonekano  ambao  kwa  kiasi  flani  umewachefua  mashabiki  wake  ambao  dakika  chache  baada  ya  picha  hizo  kuwekwa  walijimwaga  kwa  comment  ambazo hazikumuunga  mkono  kwa  asilimia  zote. 

“Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika  Ray  kwenye  moja  ya  picha  zake.
 
 

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com