ARSENAL YAFUNGA MWAKA 2013 KILELENI


Timu ya Arsenal imejihakikishia kumaliza mwaka 2013 ikiwa kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada
ya kuifunga Newcastle bao 1-0 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa St.
James' Park hivi punde. Kwa ushindi wa leo Arsenal imefikisha pointi 42
ambapo hakuna timu nyingine yoyote itakayozifikisha kwa mwaka
huu.Credits GPL