Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, December 24, 2013

Diana Kimaro wa bongo movie ajuta kuianika BIKRA yake mitandaoni


 
Takribani miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana Kimaro alikaririwa akisema kuwa yeye ni bikira na hajawahi kulala  na mwanaume yeyote kwani yupo busy na shule....
 
Diana aliyasema hayo katika kuweka wazi kuwa baadhi ya watu walikuwa wanamuona ni mcharuko kutokana na baadhi ya filamu alizoigiza kama mcharuko na kucheza vizuri hivyo wengine kudhani ni kweli. ...

Hata hivyo habari mpya kutoka chanzo kimoja ambacho kipo karibu na Diana zinasema kuwa Diana anajuta kusema kuwa ni bikira bado kwani baada ya habari zile kutoka na kuenea mitandaoni wanaume wamekuwa wakimsumbua sana kuliko hata mwanzoni ili kuonja penzi lake kwa mara ya kwanza....
 
" Diana anajutia uamuzi wake wa kujitangaza ni bikira, wanaume ndiyo wamezidi kumsumbua kuliko mwanzo. Tangu habari zile zienee kuwa bado ni bikira yaani anasakwa usiku na mchana"..Kilisema chanzo  hicho.

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com