Queen
ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo
kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele
ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume…..
Akiongea na paparazi wetu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
“Nimerithi
hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri
miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili
mzima.
“Mwanzo
nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe
wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:
“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii”
Friday, December 27, 2013
"WANAUME HAWANITAKI KABISA KUTOKANA NA JINSI NILIVYO..INANIUMA SANA"...MDAU
Unknown
BONGO