Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, December 22, 2013

"Siwezi kamwe kufanya Collabo na DIAMOND, Hiyo ni sawa na kutaka kudeki Bahari"......Ally Kiba

Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.
Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.




Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com