TASWIRA YA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA MKOANI KAGERA UNAOENDELEA KUJENGWA
Hili ndio lango la kuingilia uwanjani hapo
Upande ule panapoonekana ziwa na mlima ndio upande ambao ndege hutokea kwaajili ya kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba
Sehemu
Ambayo Ndege Ya Precision Ilipo ndio sehemu ambayo ndege zitakuwa
zikiegeshwa mara baada ya kutua na kusubiria abiria Kwaajili ya
kuondoka
Sehemu ya Njia ya Kurukia na kutua Ndege
Hiyo ndio Run Way ya Uwanja Wa Ndege wa Bukoba