MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. WILLIAM MGIMWA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisani Kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha,
Dkt. William Mgimwa, aliyefariki dunia Januari 01, 2014 huko nchini
Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Dkt. Bilal alifika
kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, leo jioni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa marehemu Dkt. Mgimwa, Jane Mgimwa, wakati alipofika
kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, leo jioni
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia wa marehemu Dkt. Mgimwa, wakati alipofika

Baadhi ya Mawaziri na wabunge waliofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, leo.Picha na OMR